Mbunge wa Jimbo la Mwera mjini Zanzibar, Zahor Mohammed Haji, akiapa kuwa Mbunge wa Jimbo hilo wakati wa shughuli za kuapishwa Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majibo yao zilizofanyika katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
(Picha na Muhidin Sufiani)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, akimpongeza Mbunge waJimbo la Mwera Mjini Zanzibar baada ya kuapishwa rasmi ndani ya ukumbi wa Bunge mjini DodomaMbunge wa Jimbo la Mwera mjini Zanzibar, Zahor Mohammed Haji, akiwa katika picha ya pamoja na familia yake nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya kuapishwa mjini Dodoma
Maskharaaaaaaaaaaaaaaa












Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...