RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na Kikosi cha FFU, kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,
hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani leo 11/11/2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi  Zanzibar  wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.


Baadhi ya wageni wakimsikiliza RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi  Zanzibar  wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
Marais Wastaaf  wakifuatrilia hutuba ya  ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akilihutubia Baraza leo wakati wa ufunguzi huo wa kwanza Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.DSkt. Amani Karume,Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar leo.
(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...