Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa chama
hicho Tawala (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya CCM Kakamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally wakitoka katika kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM jijini Dodoma Alhamisi Novemba 19, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM jijini Dodoma
Alhamisi Novemba 19, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...