
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akikutana na Wabunge-wateule wa Chama hicho Tawala katika ukumbi wa White House jijini Dodoma Jumatatu Novemba 9, 2020

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge Wateule wa CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia Wabunge-wateule wa CCM wakati walipokutana na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa White House jijini Dodoma Jumatatu Novemba 9, 2020
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru
Ally akisalimia Wabunge-wateule wa CCM wakati walipokutana na Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe
Magufuli katika ukumbi wa White House jijini Dodoma Jumatatu Novemba 9, 2020

Makamu Mwenykiti wa CCM (Bara)
Mzee Philip Mangula akisalimia Wabunge-wateule wa CCM wakati
walipokutana na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli
katika ukumbi wa White House jijini Dodoma Jumatatu Novemba 9, 2020

Wabunge-wateule wa CCM wakimsikkiliza Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli alipokutana nao katika ukumbi wa White House jijini Dodoma Jumatatu Novemba 9, 2020

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wabunge Wateule wa CCM mara baada ya kuzungumza nao katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...