Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali  Dkt.Hassan Abbasi akiwasilisha mada juu ya ‘Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa na Waandishi wa Habari za Bunge’ kwenye mafunzo ya Waandishi wa habari za Bunge yaliyofanyika hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa-Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Waandishi wa habari za Bunge wakifuatilia kwa makini mada zilizowasilishwa kwenye Mafunzo ya Waandishi hao yaliyofanyika kwenye hii leo Ukumbi wa Msekwa-Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mwandishi wa habari za Bunge kutoka Global TV, Ndg. Mohamed Zengwa akichangia jambo kwenye Mafunzo ya Waandishi wa habari za Bunge yaliyofanyika hii leo Ukumbi wa Msekwa-Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Mwandishi wa habari za Bunge kutoka gazeti la Mwananchi, Ndg. Sharon Sauwa akiuliza shwari kwa Mtoa Mada (hayuko pichani) kwenye Mafunzo ya Waandishi wa habari za Bunge yaliyofanyika hii leo Ukumbi wa Msekwa-Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Mwandishi wa habari za Bunge kutoka gazeti la Uhuru, Ndg. Mussa Yusuph akiuliza shwari kwa Mtoa Mada (hayuko pichani) kwenye Mafunzo ya Waandishi wa habari za Bunge yaliyofanyika hii leo Ukumbi wa Msekwa-Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Mwandishi wa habari za Bunge kutoka Star TV, Ndg. Mozes Blaya akichangia jambo kwenye Mafunzo ya Waandishi wa habari za Bunge yaliyofanyika hii leo Ukumbi wa Msekwa-Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...