Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa kwanza kushoto)  akihitimisha mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la 12 leo Bungeni Dodoma. Katikati ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, (CAG) Ndg. Charles Kichere akitoa mada wakati wa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyohitimishwa leo Bungeni Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada wakati wa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyohitimishwa leo Bungeni Dodoma. Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji (Mst.) Harold Nsekela akitoa mada wakati wa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyohitimishwa leo Bungeni Dodoma.

Katibu Mstaafu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akitoa mada wakati wa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyohitimishwa leo Bungeni Dodoma.

PICHA NA BUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...