TunakabidhiTena: Tigo yaendelea kukabidhi zawadi za Simu kwa washindi mbalimbali wa #JazaTukujazeTena ambapo wateja hujishindia pia bonus za dakika, MB na SMS na kubwa zaidi kupata Simu Janja. "Mpaka sasa tumeshatoa simu zaidi ya 240 kati 1200 na bado tunaendelea kutoa simu mbalimbali kupitia kampeni yetu inayoendelea nchini kote" Beatrice Kinabo-Meneja huduma kwa wateja kanda ya pwani





JOTI "Ukinunua kifurushi Tigo inakupa Bonus za Dakika, SMS na MB's na zaidi unajiwekea nafasi ya kushinda smartphone ambazo leo tunazitoa kwa washindi wa wiki hii."#ItelT20 #TecnoKitochi4G kumi kila siku na #SamsungNote20 tatu kila wiki.
#JazaTukujazeTena


Balozi wa kampeni ya Jaza Tukujaze Tena,Meena Ally akielezea kwamba hadi sasa Tigo imeshatoa MB billion 1.2 kama bonus katika kampeni inayoendelea ya Jaza Tukujaze Tena,kushoto kwake ni balozi mwenzake wa kampeni ya jaza tukujaze tena Joti na kulia kwake ni,Meneja Huduma kwa Wateja wa Kanda ya Pwani Tigo, Beatrice Kinabo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...