Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji na Viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji na Viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,wakiwepo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd.Khamis Mussa Omar.[Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...