*Dkt.Malasusa afungua Tamasha la Twenzetu kwa Yesu



Vijana wakimwimbia Mungu kwenye Tamasha la Twenzetu kwa Yesu litalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Upendo Media Obed Kikao akitangaza matukio yanayoendelea katika Tamasha la Twenzetu kwa Yesu litalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa d na watendaji wa KKKT wakiwa katika nyuso Tabasam wakati kufatilia matukio mbalimbali kwenye Tamasha la Twenzetu kwa Yesu litalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Vijana wa Rungu ya Yesu wakichana mistari ya kumuimbia Mungu kwa miondoko ya Hi pop  katika Tamasha la Twenzetu kwa Yesu lililofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dkt.Alex Malasusa  wa katika waliokaa mbele akishuhudia matukio mbalimbali ya Tamasha la Twenzetu kwa Yesu lililofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambalo limekutanisha maelefu ya vijana kupata elimu ya Dunia katika kujitambua pamoja na kumtukuza Mungu kwa vitendo kuweza kufunguliwa. Tamasha hilo ni Mara ya Saba kufanyika kwa kukusanya vijana wengi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...