Na Khadija Seif, Michuzi TV
LUGHA ya Kiswahili yaendelea kupewa Kipaumbele kwenye tamthilia za startimes.
Akizungumza na waandishi wahabari Meneja Masoko wa Kampuni ya Star Media kupitia King'amuzi cha Startimes, David Malisa amesema kuelekea sikukuu za kufunga mwaka King'amuzi hicho wameamua kuleta Msimu huo wakua karibu na familia zao.
"Kampuni yetu inaongoza kwa tamthilia nzuri za kuelimisha ambazo zinaleta ukaribu wa familia kwa kuweza kutazama maudhui mbalimbali kwa rika tofauti." Amesema Malisa
Hata hivyo Malisa ametoa zawadi ya sikukuu kwa wateja wa startimes kuelekea sikukuu za kufunga mwaka tamthilia 3 kwa mpigo."

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...