Mjasiriamali akisubiri wateja wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. ambapo Bei ya Nyanya sado ni  Shiling 5,000 na fungu ni 400.

(Picha na Emmanule Massaka wa Michuzi Tv)
Bei ya  Mchele katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam  kama inavyo onekana katika picha.
Bei za bidhaa mbalimbali katika soko la Makumbusho  wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kamazinavyo onekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...