Mratibu wa Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge nchini (MKURABITA) Dkt.Seraphia Mgembe akieleza utekelezaji wa mpango huo kwa Naibu Waziri ,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi wakati  alipowatembelea katika ofisi zao viwanja vya nane nane nzuguni Dodoma ili kujitambulisha na kujua majukumu yao.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiteta jambo na Mratibu wa Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge nchini (MKURABITA) Dkt.Seraphia Mgembe wakati alipowatembelea katika ofisi zao viwanja vya nane nane nzuguni Dodoma ili kujitambulisha na kujua majukumu yao.


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge nchini (MKURABITA) mara baada ya kuzungumza nao.

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wafanyakazi wa Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge nchini (MKURABITA) alipowatembelea katika ofisi zao viwanja vya nane nane nzuguni Dodoma ili kujitambulisha na kujua majukumu yao.

Mkurugenzi wa Idara ya waasisi wa Taifa Bw.Salum Kyando akielezea utendaji kazi wa Idara hiyo kwa  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi(kulia kwake) wakati alipotembelea ofisi hizo kwa lengo la kujitambulisha na kujua majukumu yao
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakati alipowatembelea ili kujitambulisha na kujua majukumu yao.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...