Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF
Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto)
Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF
Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF
Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe. Rais leo. (Picha na Ikulu.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...