Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi
Elias John Kwandikwa wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
leo kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kumpa pongezi kwa Ushindi
alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita mwaka huu.[Picha na Ikulu]
15/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akimsikilza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi
Elias John Kwandikwa wakati walipokuwa na mazungumzo alipofika Ikulu
Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kumpa pongezi
kwa Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita mwaka huu.[Picha na
Ikulu] 15/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akimsikilza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi
Elias John Kwandikwa (katikati) katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu
Jijini Zanzibar leo alipofika kujitambulisha na kumpa pongezi kwa
Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita (kushoto) Katibu Mkuu
Wizara hiyo Nd,Faraji Mnyepe.[Picha na Ikulu] 15/12/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...