Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishiriki katika Misa Takatifu ya Krismasi katika Kanisa la Bikira
Maria Imakulata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo Disemba 25, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipitisha kwa waumini kapu la sadaka aliposhiriki katika
Misa Takatifu ya Krismasi katika Kanisa la Bikira Maria Imakulata
Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo Disemba 25, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimia waumini wenzie aliposhiriki katika Misa Takatifu ya
Krismasi katika Kanisa la Bikira Maria Imakulata Chamwino Ikulu mkoani
Dodoma leo Disemba 25, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...