
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge pamoja na Katibu Mkuu wa WIzara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbas wakifuatilia kwa umakini tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine. Tamasha hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wapenda burudani waliojitokeza kuhudhuria tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine wakijipongeza na bia ya Guinness Smooth kabla ya tamasha hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa akilipuka kwa shangwe wakati wa tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine. Tamasha hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam jana

Baadhi ya wapenda burudani waliohudhuria tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine wakiifurahia bia mpya ya Guinness Smooth kabla ya tamasha hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...