Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria
Ufunguzi wa Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya
kaskazini "B" Unguja hafala Iliyofanyika leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kulia) Mkuu wa Wilaya
kaskazini "B" Rajab Ali Rajab na Mwenyekiti wa Kamati ya msikiti
Bw.Hamdu Haji (wa pili kulia)
Baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na
Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya Swala ya Ijumaa na
Kuufungua Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya
kaskazini "B" Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Waumini wa Dini ya
Kiislamu na Wananchi baada ya Swala ya Ijumaa na Kuufungua Msikiti
Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja leo
ambapo swala hiyo Iliswalishwa na Kadhi wa Wilaya ya Mjini Sheikh
Othman Ame Chum.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...