Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akipata maelezo kwa Naibu Katibu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliana-Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonazi wakati alipotembelea Banda la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) katika Maonesho ya 5 ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akisoma kitabu Cha muongozo wa Huduma kwa wateja cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati alipotembelea Maonesho ya 5 ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini es Salaam.
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akifurahi Jambo na wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mara baada ya kupata maelezo katika Banda la TCRA kwenye maonesho ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Annastella Mchomvu akimhudumia mwananchi wakati alipotembelea banda la TCRA katika Maonesho ya Viwanda vya Ndani yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kuwahudumia wananchi katika Maonyesho ya Tano (5) ya bidhaa za Viwanda vya Ndani Tanzania, kuanzia Tarehe 3 - 9 Disemba 2020 katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...