Waziri wa Nchi Ofisis ya Makamu wa Rais Mazingira,Ummy Mwalimu (kushoto) akifunua kitambaa kwa kushirikiana na Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (wakwanza kulia) kuashiria uzinduzi rasmi wa bustani ya msitu wa miti ya kupandwa eneo la Medeli Jijini Dodoma jana ,Jiji hilo limetenga eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 10 kwa ajili ya msitu huo 

Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati,Grace Chambua (katikati) Emanuel Medukenya (kushoto) na Ibrahim Salumu (kulia) wakibeba mti kwa ajili  ya kupanda eneo la Medeli Jijini Dodoma kwenye msitu wa miti ya kupandwa ,miti hiyo ilipangwa jana kwenye uzinduzi rasmi wa msitu huo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati,Grace Chambua (katikati) Emanuel Medukenya (kushoto) na Ibrahim Salumu (kulia) wakishirikiana na kupanda mti eneo la Medeli Jijini Dodoma  wakati wa uzinduzi wa msitu huo wa miti ya kupandwa  wenye ukubwa wa ekari 10 

 Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua  (kushoto) akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma ,Prof ,David Mwamfupe walipokutana jana kwenye uzinduzi wa msitu wa kupandwa eneo la Medeli Jijini Dodoma jana .

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ,Mazingira,Ummy Mwalimu (kushoto) akisalimiana na Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati,Grace Chambua walipokutana kwenye uzinduzi wa msitu wa miti ya kupandwa eneo la Medeli Jijini Dodoma jana  .


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira,Ummy Mwalimu akipanda mti kwa kushirikia na Meya wa Jiji la Dodoma ,Prof David Mwamfupe wakati wa kuzindua msitu wa miti ya kupandwa uliopo eneo la Medeli Jijini Dodoma jana ,kulia anayeshuhudia na Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua .


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...