Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema watumishi waliokosa maadili watachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kupelekwa kwenye vyombo vya dola. amesema kuwa watumishi hao wanaharibu taswira ya watumishi wote wa sekta ya afya kuonekana ni wezi wa dawa na kuwaonya kuwa WATUMISHI HAO WATAFUNGWA KWA WIZI WA DAWA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...