Muuza Matunda aina ya Nanasi (wakwanza kulia) akiwahudumia wateja ambapo bei ya Nanasi katika Soko la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam linauzwa kati shilingi 500 hadi shilingi 3500.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Bei za Ndizi katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kama zinavyoonekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...