Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na Viongozi wa Kiserikali katika Uwanja wa ndege wa Mwanza. Maalim amesafiri kuelekea Dar es salaam baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali mkoani Geita leo tarehe 15/01/2021.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...