Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Kyaka Misenyi mkoani Kagera wakati akielekea
Wilayani Karagwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya kuzungumza nao.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya
kuzungumza nao.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba iliyopo Bukoba mjini
mkoani Kagera muda mfupi mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mkataba wa
makubaliano kati ya Serikali na Kampuni ya LZ Nickel limited leo tarehe 19
Januari 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...