Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia
mada kutoka kwa Msajili wa Hazina Ndugu Athuman Mbuttuka kuhusu Sheria
na Majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina katika kikao kilichofanyika
Bungeni Jijini Dodoma.
Msajili wa Hazina Ndugu Athuman Mbuttuka akiwasilisha mada kuhusu
Sheria na Majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina katika kikao cha
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kilichofanyika Bungeni
Jijini Dodoma.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...