Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli   akiwa katika picha na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Dkt. Abednego Keshomshahara, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Desiderius Rwoma, Shehe wa Bukoba Mubarak Juma pamoja na Padre Revocatus Mwehuzi muda mfupi mara baada ya kupata chakula cha Mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar pamoja na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke muda mfupi mara baada ya kupata chakula cha mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar pamoja na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke muda mfupi baada ya kupata chakula cha Mchana katika Ikulu ndogo ya Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 18 Januari 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...