Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiondoka  baada ya kuweka jiwe  la msingi la mradi wa
ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera  eneo la
Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya na Mafunzo Stadi
(VETA)  Bw. Peter Maduki baada ya kuweka jiwe  la msingi la mradi wa
ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera  eneo la
Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya kuweka
 la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA)
cha mkoa wa Kagera  eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo
Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Balozi wa China Nchini Mhe. Wang Ke akiweka  la
msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha
mkoa wa Kagera  eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo
Jumatatu Januari 18, 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...