Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na
Utalii Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa
Madini Doto Biteko, Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu TFS Profesa
Dos Santos Silayo pamoja na viongozi wengine akizindua shamba la
Miti lenye ukubwa wa ekari elfu 69 katika eneo la Butengo Chato mkoani Geita
leo tarehe 27 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimwagilia maji mti alioupanda
kama kumbukumbu mara baada ya kuzindua shamba la Miti lenye ekari elfu 69
katika eneo la Butengo Chato mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa
Butengo Chato wakati akiondoka katika shamba la Miti la Chato mara baada ya
kulizindua mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Butengo
Chato mkoani Geita kabla ya kuzindua Shamba kubwa la Miti lenye jumla ya ekari
elfu 69 mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.
Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa
Huduma za Misitu TFS Profesa Dos Santos Silayo akipiga Saluti mara baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
kutangaza Rasmi kuwa Shamba la Miti la Chato sasa liitwe Shamba la Silayo kama
Heshima kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...