



Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiondoka katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato kuelekea Mwanza mara baada ya uzinduzi wa Safari yake ya kwanza ya kutoka jijini Dar es Salaam.

Abiria wakishuka katika ndege hiyo ya ATCL aina ya Bombardier Q-400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Geita.


Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ilipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni
uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ATCL Mhandisi Emmanuel
Korosso na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. Ladislaus Matindi
wakiwa wameshuka kutoka katika Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina
ya Bombardier Q-400 uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09
Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo

akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ATCL Mhandisi
Emmanuel Korosso na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bw. Ladislaus
Matindi waliowasili Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya
Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09
Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

kikitumbuiza wakati Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya
Bombardier Q-400 ilipowasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato
leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza
mkoani humo.

Abiria wa kwanza wakitelemka kutoka katika Ndege ya Shirika la
Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ilipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani humo.

akiongoza viongozi mbalimbali na mamia ya wananchi kuipokea Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiwasili katika
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni
uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ilipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni
uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

Noel Komba (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzie Flight
Officer Abdallah Yasin senior cabin crew Happy Kimbe na Diana Nkomola
walioweka historia ya kufanya safari ya kwanza ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) wakati Ndege yake aina ya Bombardier Q-400 ilipotua
uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 katika
uzinduzi wa safari zake mkoani humo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho
akionesha kikonyo cha tiketi yake wakati akiingia katika ndege baada
ya kuomngoza mapokezi ya Ndege hiyo ya Shirika la Ndege la ATCL aina
ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe
09 Januari 2020 katika uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo.

Wafanyakazi wa Kampuni ya huduma za ndege ya AIRCO wakiwa
miongozi mwa wananchi walioipokea kwa furaha Ndege ya Shirika la Ndege
la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita,
Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya
kwanza mkoani Geita.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akiwa na
viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu ya mapokezi ya Ndege ya
Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani Geita.

ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa
Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 wakati wa uzinduzi wa
safari yake ya kwanza mkoani humo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...