Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DKT,Hussein Ali Mwinyi katikati akiwa pamoja na Makamu wa Kwanza wa
Rais Maalim Seif Sharif Hamad kulia  Makamu wa Pili wa Rais Hemed
Suleiman Abdulla wa mwisho kulia na Viongozi mbalimbali  wakifanya
mazoezi ya Viungo ndani ya Uwanja wa Amani baada ya kuwasili kutoka
katika Maandamano  ya Tamasha la 12 la Kitaifa la Mazoezi yalioanzia
Kisonge hadi Amaan Studio Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DKT,Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba katika Tamasha la12 la Kitaifa la
Mazoezi ya Viungo yalioanzia Kisonge hadi Amaan Studio Zanzibar.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...