Meneja wa Tigo kanda ya kusini Bw. Jensen Msechu pamoja na Meneja mauzo, Tigo BW. Francis Ndada wakimkabidhi mfano wa hundi Wakala na Mshindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Zuena Kyando Kutoka Tunduma.Huyu ni mmoja wa washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya kusini.
Meneja mauzo, Tigo mkoa wa Iringa BW. Samwel Chanai akimkabidhi mfano wa hundi Wakala na Mshindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Kutoka Iringa..Na huyu nae ni mmoja wa washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya kusini.
Meneja wa Tigo Mbeya, Fadhila Said pamoja na Meneja wa Tigo kanda ya kusini Tigo Bw. Jensen Msechu wakimkabidhi mfano wa hundi Wakala na Mshindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Ndaki Mayungwa Kutoka Tunduma.Na huyu ni mmoja wa washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya kusini.
Meneja wa Tigo kanda ya kaskazini , Said Idd akikabidhi mfano wa hundi kwa mawakala na washindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Omary Juma pamoja na Agustino Mturo kutoka Dodoma.
Hawa nao ni washindi waliofanya vizuri zaidi kutoka dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...