Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza kushoto) akimkabidhi Cheti cha
Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili
aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo
limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba,
Jijini Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kulia) akielekea kukagua Gwaride
Maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya hafla ya kumkabidhi Cheti cha
Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili
aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo
limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba,
Jijini Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika hafla ya kumkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Christopher Kadio (kushoto), katika hafla ya kumkabidhi
Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, Koplo Denis Minja (hayupo pichani) aliyeokoa maisha ya mtoto
wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini
Karagwe. Tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara
hiyo Mtumba, Jijini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Watatu kutoka kushoto)
akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John
Masunga (Wakwanza kushoto), pamoja na Watendaji wengine wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji kabla ya kuanza kwa hafla ya kumkabidhi Cheti cha
Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Koplo Denis Minja (hayupo pichani) aliyeokoa maisha ya mtoto wa
miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe.
Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo
Mtumba, Jijini Dodoma. Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Watatu kutoka
kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo,
Khamis Hamza Chilo (Wapili kutoka kushoto), Katibu Mkuu Christopher
Kadio (Wapili kutoka kulia), Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima
(Wakwanza kutoka kushoto) na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, John Masunga (Wakwanza kutoka kulia) katika hafla ya kumkabidhi
Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, Koplo Denis Minja (Watatu kutoka kushoto) aliyeokoa maisha
ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo
Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya
Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...