Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima na mume wake Wakili Gwajima mapema leo wakiwa kwenye mazoezi.Tufanye mazoezi mara kwa mara ili kulinda afya zetu,tuzingatie mtindo bora wa maisha,tupige nyungu bila kusahau kufanya Ibada.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...