Wajumbe wa Kamati ya Bunge Masuala ya UKIMWI wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Katika kikao hicho Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge, Ndugu Athuman Hussen aliwasilisha mada kuhusu Historia, Muundo na Majukumu ya Kamati hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge, Ndugu Athuman Hussen akiwasilisha mada kuhusu Historia, Muundo na Majukumu ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI Mhe. Fatma Toufiq akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Katika kikao hicho Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge, Ndugu Athuman Hussen aliwasilisha mada kuhusu Historia, Muundo na Majukumu ya Kamati hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...