Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akiwasilisha mada mbele ya viongozi wa Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeendesha mafunzo hayo ili kuwajengea uwezo watendaji wa Vyama hivyo kuelekea utekelezaji wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 inayotaka wagombea kujaza fomu za marejesho na kuziwasilisha kwa msajili.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akifafanua jambo mbele ya viongozi wa Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeendesha mafunzo hayo ili kuwajengea uwezo watendaji wa Vyama hivyo kuelekea utekelezaji wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 inayotaka wagombea kujaza fomu za marejesho na kuziwasilisha kwa msajili.

Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Rashid Rai akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeendesha mafunzo hayo ili kuwajengea uwezo watendaji wa Vyama hivyo kuelekea utekelezaji wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 inayotaka wagombea kujaza fomu za marejesho na kuziwasilisha kwa msajili.

 Baadhi ya viongozi wa Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) wakifuatilia  mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza (aliyekaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam leo.  Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa AAFP, Rashid Rai na Mwenyekiti wa AAFP, Said Soud.(Picha na ORPP)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...