Jaji Zepharine Nyalugenda Galeba akila kiapo kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufani Tanzaia
kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021.
Kamishina wa Maadili Jaji Siiyangilwa Sikalilwa Mwangesi akimlisha
kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba
aliyeapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia
kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani Tanzania kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimpomngeza baada ya kumuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda
Galeba kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kumuapisha Jaji wa Mahakama ya rufani ya Tanzania kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...