RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na
kuzungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika
Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo.(Pichav na Ikulu)
WAUMININ wa Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waumini wa Kiislam
wakifuatilia mawaidha yakitolewa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Khalib Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa
iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika msikiti huo leo 5-2-2021, na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Kijiji cha Bweleo alipowasili katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali
Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa
iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...