Mkurugenzi wa Kitengo cha Udhibiti wa Mionzi wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania ( TAEC),Dkt. Justine Ngaile akitoa mada kwa maofisa 40 waliopo kwenye mafunzo ya kitaifa ya vifaa vinavyotumia mionzi kukagua mizigo katika maeneo ya mipaka, viwanja vya ndege ,bandari na wasambazaji wa vifaa vyenye vyanzo vya mionzi ambapo mafunzo hayo yanafanyika makao makuu ya Tume ya Nguvu za Atomiki yaliyopo jijini Arusha .
Maofisa wanaopatiwa mafunzo ya kitaifa ya vifaa vinavyotumia mionzi wakimsikiliza kwa makini Mkufunzi, Mkurugenzi wa Kitengo cha Udhibiti wa Mionzi Dk. Justine Ngaile .
Home
HABARI
TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA (TAEC) YAENDELEA KUTOA MAFUNZO MAALUMU KWA WAKAGUZI WA MIZIGO MAENEO YAO YA KAZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...