Meneja wa Chaneli za Kidijitali
na malipo kwa mtandao M-Pesa (Digital Channels and Online payments ) wa
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Josephine Mushi
akipokea tuzo za Tanzania Digital Awards kutoka kwa Afisa Uendeshaji wa
kampuni ya Serengeti Bytes, Michael Mallya, Vodacom imeshinda tuzo
mbili, zana (App) bora ya huduma za kifedha kupitia M-Pesa App na
kampeni bora ya masoko mtandaoni ambapo kampeni ya “Yajayo
Yanafurahisha” ilishinda.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni hiyo, Alex Bitekeye (kushoto) akipokea tuzo za Tanzania Digital Awards kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Serengeti Bytes, Kennedy Mmari, Vodacom imeshinda tuzo mbili, zana (App) bora ya huduma za kifedha kupitia M-Pesa App na kampeni bora ya masoko mtandaoni ambapo kampeni ya “Yajayo Yanafurahisha” ilishinda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...