MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kumaliza kwa hafla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 2-3-2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...