Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiongoza mapokezi ya mwili wa alieykuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kabla baadaye kwenda kutoa heshima za mwisho katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja leo Machi 23, 2021.PICHA NA IKULU


Msafara wa Magari wenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt John Pombe Magufuli ukielekea katika uwanja wa Amani mjini Ungunja-Zanzibar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho kutoka kwa Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi leo Machi 23,2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...