RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale
Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa yao ya utekelezaji wa maagizi ya
Rais aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha
katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya
utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu
wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, ikiwasilishwa na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Fatma
Mbarouk Khamis na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mkutano huo umefanyika
katika ukumbi wa Ikulu (Picha na Ikulu)
WAKUU wa Idara na Taasisi za Wizaya ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar wakifuatilia mkutano wa uwasililishwa wa Taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo ya Rais kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, yakiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Fatma Mabrouk, mkutano huo ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa
Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya
Ikulu Zanzibar, ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na
Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Fatma Mbarouk Khamis na (kulia kwa Rais)
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena
Ahmed Said, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu (Picha na
Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...