Na Abdullatif Yunus

Msanii wa Kizazi kipya kutoka Kanda ya Ziwa Mkoani Kagera Hashimu Ngemera a.k.a Shemela amefika Makao Makuu ya WASAFI  na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa Lebo hiyo Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platinums Mapema Machi 14,2021.

Shemela ambaye amefika Mjengoni kwa lengo la kukutana na Chibu kuongea nae namna ya kuinua kipaji chake, kupitia Waziri wa Habari Sanaa Tamaduni na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ambaye amekuwa kiunganishi Cha wawili hao.

Shemela japo Ni Msanii maarufu Mkoani Kagera huenda ikawa Ni nafasi yake pekee kimziki ya Kutimiza ndoto zake, kwani Lebo ya Wasafi kwa Ukubwa wake tayari imeviibua vipaji na Wasanii wengi wakubwa hapa Nchini.



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...