Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Dk,Mehment  Gulluoglu (wa pili kulia) akiwaongoza Mabalozi wa Comoro na Pakstani na viongozi mbalimbali kukata utepe  kuashiria Uzinduzi wa Msikiti wa Rehema  uliopo Madale jijini Dar es Salaam.
Meneja Mwendeshaji wa Tassisi ya Rehema, Zuberi  Salumu akizungumza na waumini wa msikiti huo baada ya ufunguzi Rasmi uliofanyika Madale jijini Dart es Salaam
Waumini wa kiislamu wakiwa ndani ya msikiti wa Rehema wakati wa ibada ya Ijumaa Uliojengwa na Tasisi ya  Rehema  kwa kushirikiana na tasisi ya Hudayi kutoka uturuki
Muonekano wa Jengo la msikiti wa  Rehma uliopo Madale Dar


 

Mwakilishi wa Taasisi ya Rehema akigawa msaada wa Futari kwa watu wenye Mahitaji baada ya uzinduzi wa msikiti huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...