Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akitii jambo kutoka kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
Wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM, wakiwa wamesimama kwa muda wa Dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...