Wakati
msimu wa 2020/21 ukiwa unaelekea ukingoni, mashabiki wa soka
wanayatizama mashindano ya UEFA na Europa kwa jicho la ziada.
Meridianbet tunasema “kimeumana wiki hii!”
Real Madrid kuwaalika
Chelsea katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Uefa. Timu zote
zinajipambanua kwenye Ligi zao za nyumbani, lakini hii ni Ligi ya
Mabingwa. Ifuate Odds ya 3.14 kwa Madrid kupitia Meridianbet jumanne
hii.
Sambamba na mashindano ya Ulaya, kupitia Meridianbet unaweza
kubashiri kwenye ligi soka ya Championship kule Uingereza. Brentford vs
Rotherham United ni moto!! Odds ya 1.51 kwa Brentford inaweza kuwa na
faida kwako.
Jumatano hii tutasafiri mpaka nchini Ufaransa. PSG
kuwaalika Man City. Ukiacha ukubwa wa timu hizi, hii itakuwa ni
muendelezo wa vita ya Pochettino vs Guardiola, watoto wa mjini wanasema
ni “hatari na nusu”. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.99 kwa PSG.
Kunako
LaLiga, Athletic Bilbao watachuana na Real Valladolid. Meridianbet
tunakwenda na kila ligi, mwendo ni ule ule. Odds Bora kwenye mchezo huu
imekwenda kwa Bilbao, dau lako litaweza kuzidishwa mara 1.86 ukibashiri
kupitia Meridianbet.
Patashika nguo kuchanika pale Old Trafford
alhamisi hii. Manchester United uso kwa uso na AS Roma. Chris Smalling
na Henrikh Mkhitaryan watarejea nyumbani wakiwa na timu ya Roma.
Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.59 kwa United kwenye mchezo huu wa
nusu fainali ya Ligi ya Europa.
Tutahitimisha wiki ya kibingwa
kwa mchezo wa Villareal vs Arsenal. Hakika Ligi ya Europa msimu huu
inanoga. Emery Unai kuivaa Arsenal akiwa na vijana wa Villareal. Kwani
Arsenal wenyewe wanasemaje? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.74 kwa
Arsenal kwenye mchezo huu wa kuisaka fainali ya Ligi ya Europa msimu
huu.
Bashiri na Meridianbet sasa ili uwe miongoni mwa familia ya mabingwa! Familia hii inajengwa kwa Odds Bora na Bonasi Kubwa!
Kwani Meridianbet Wanasemaje Wiki Hii?
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...