Picha mbalimbali zikimuonesha Mama Janeth Magufuli ambaye ni Mjane wa aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli pamoja na Mam Mary Majaliwa ambaye ni Mke wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakiwa na Mapadre wa Kanisa la St Peters lililopo Osterbay, Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Dk Magufuli ikiwa leo ni siku ya 40 tangu afariki Dunia Machi 17 mwaka huu.Ikiwa leo ni Arobaini (40) ya kifo cha aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo amemtembelea Mjane wa Dk Magufuli, Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake ambapo pia amemkabidhi zawadi ya sanamu ndogo ya Bikira Maria.

Ikiwa leo ni Arobaini (40) ya kifo cha aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo amemtembelea Mjane wa Dk Magufuli, Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake ambapo pia amemkabidhi zawadi ya sanamu ndogo ya Bikira Maria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...