Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, a kizungumza na Mkuu wa Itifaki CP Balozi Yusuf Mndolwa Tindi wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 23,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 23,2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...