*Tumia Fursa ya Kutengeneza Faida Ukiwa na Meridianbet.

MSIMU huu wa pasaka kunogeshwa zaidi na Meridianbet. Kwa kupitia tovuti ya www.meridianbet.co.tz au kwa kupiga *149*10#, unaweza kutengeneza faida kubwa kwenye michezo ya wikiendi hii.


Kwenye Ligue 1 wikiendi hii, PSG kuvaana na Lille. Msimu huu kule Ufaransa mambo ni moto, tofauti ya magoli 15 ndio inazitofautisha timu hizi katika nafasi ya kwanza na pili. Sio kesi, Meridianbet tumekupatia Odds ya 1.73 kwa PSG Jumamosi hii.


Tuondoke Ufaransa na tutue pale Emirate Stadium, Arsenal kuwaalika Liverpool Jumamosi hii. Timu zote zinapambana kuingia kwenye nafasi 4 za juu kunako msimamo wa EPL, lakini ni nani atazimaliza dakika 90 kibingwa? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.35 kwa Liverpool.


Jumapili hii wakati ukiwa unaifurahia Pasaka, Aston Villa atakuwa pale Villa Park akichuana na Fulham. Huu ni mchezo mwingine unaoweza kukuongezea furaha kwenye pasaka yako. Kupitia Odds ya 2.40 kwenye Meridianbet, unaweza kuongeza tabasamu usoni pako.


Pale Estadio Martinez Valero, Elche uso kwa uso dhidi ya Real Betis. Pointi 2 tu ndizo zinazowapa Elche matumaini ya kusalia ligi kuu – LaLiga msimu ujao. Japokuwa, matokeo ya ushindi ndio kitu wanahitaji kwenye mchezo huu. Unaweza kuifuata Odds ya 1.90 kwa Betis.


Jumatatu ya Pasaka itapendezeshwa kwa mchezo wa Everton vs Crystal Palace. Timu zote zilianza msimu kwa morali lakini zinaonekana kupungua kasi kuelekea mwisho wa msimu. Ifuate Odds ya 1.85 kwa Everton ukiwa na Meridianbet.


Wolves kuwaalika West Ham United pale Molineux Stadium. Vijana wa David Moyes wanajambo lao msimu huu, kucheza Mashindano ya Ulaya msimu ujao, ndio lengo lao kuu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.70 kwa West Ham United Jumatatu hii.


Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...