Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Barua yenye Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta iliyowasilishwa kwake na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Kenya hapa nchini Mheshimiwa Dan Kazungu ambaye aliambatana na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta akizungumza na Wanahabari mara baada ya kuwasilisha Ujumbe huo pamoja na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

 

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari mara baada ya kupokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta wakwanza kushoto, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Athman Kattanga wakwanza (kulia) pamoja Balozi wa Kenya hapa nchini Balozi Dan Kazungu mwenye tai nyekundu, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...