Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Philip Isdor Mpango akimnadi Mgombea wa CCM Ndugu Kavejuru.
Katibu wa H/Kuu ya Taifa SUKI Ndg Ngemela Lubinga akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Muyama kumuombea kura Ndugu Kavejuru.
Katibu wa H/Kuu ya Taifa SUKI Ndg Ngemela Lubinga akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Muyama kumuombea kura Ndugu Kavejuru.
Katibu wa H/Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akielekeza namna ya kupiga kura kumchagua Ndg Felix Kavejuru Mgombea Ubunge wa Jimbo Buhigwe.
Meza Kuu   

Katibu wa H/Kuu ya Taifa SUKI Ndg Ngemela Lubinga akizungumza na katibu wa H/Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka hamdu Shaka. 

Mgombea ubunge Jimbo la Buhigwe Ndugu Felix Kavejuru akionyesha mfano wa karatasi ya kura kwa wapigakura wa Kijiji cha Muyama. 

Mgombea ubunge Jimbo la Buhigwe Ndugu Felix Kavejuru akiomba kura kwa  wananchi wa Kijiji cha Muyama. 

  
                                             Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano huo


                                                 Sehemu ya Wananchi waliohudhulia mkutano huo


Sehemu ya wabunge waliohudhuria mkutano huo

Picha ya Katibu wa H/Kuu ya Taifa Oganaizesheni Ndg Moudline Cyrus Castico akiwa pamoja na kADA Wa Chama Cha Mapinduzi ndg Lazalo Nyalandu.
  Bendi ya TOT ikitoa burudani katika Mkutano wa Kufunga kampeni za Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mihambwe katika Viwanja vya Shule ya Msingi Muyama. (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...